Na. Raymond
Claud
WAZIRI wa Kilimo,Chakula Ushirika Mh. Eng.Christopher Chiza amezindua
Baraza jipya la Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti na Udhibiti wa Viuwatilifu
katika nchi za kitropiki (TPRI )
Akizungumza
jijini Dar es salaam katika hoteli ya Tifany Dimond mhueshimiwa Chiza alisema
amezindua Baraza hilo na amewataka Wakurugenzi hao wapya kufanya kazi kwa
bidii na kuwaomba washirikiane na Mkuu
wa Bodi hiyo kwa juhudi ili waweze kuboresha Taasisi
“Nimezindua
rasmi baraza ila nawomba muweze kushirikiana na Mkuu wa Bodi ili kuleta
maendeleo kupitia Taasisi hii na nina muomba Mkuu wa Bodi kuwachukulia sheria
wale wote wasio wajibika kwa kuchukua maamuzi magumu, alisema Waziri Chiza na
kuongeza
Nimesikia
kuna matumizi mabaya ya fedha katika taasisi hii kwa yeyote atakaye bainika
amesababisha hasara basi apelekwe kwenye sheria washughulikiwe na hatutaangalia
sura kwamba mtu gani alifanya hivyo bali sheria itachukua nafasi dhidi yao’’
Aidha
Mwenyekiti ya wa Bodi Wakurugenzin Profesa
Kalunde aliwatambulisha Wakurugenzi tisa ambao ni prof . Raphael Chibunda
mkurugenzi msaidizi Wizara ya
mawasilianao Sayansi teknolojia Fabian Mkondo Mkurugenzi msaidizi idara ya
mimea , DKT Godfrey Nsengwa Mkurugenzi msaidizi idara ya huduma za Afya ya
mifugo na uvuvi , Wizara ya Afya Bwana Matata Ofis ya mkemia Mkuu wizara ya
Afya.Prof Maulid Mwatawala wa idara ya mimea vipondo chuo kikuu cha Sua , Bi Magdalena Mtenga Mkurugenzi msaidizi idara
ya Mazingira ofisi ya Makamu wa rais wa baraza jipya kwa Mheshimiwa Waziri.
“Taasisi
imejitahidi kuwawajibisha viongozi
wabadhilifu na kuwafukuza kazi akiwemo Mhasibu Mkuu na baadhi ya viongozi kwa
sababu ya matumizi mabaya ya fedha za taasisi na pia bodi bado inaendelea kuwa
adhibu wale wote wengine wanaoendelea na hiyo tabia’’
Profesa
Kalunde aliwasilisha changamoto zinazoikabili taasisi hiyo kuwa ni ukosefu wa
wataalamu,uboreshwaji wa mahabara,majengo ya zamani,ufinyo wa fedha na Majengo
.

Takwimu za zana za
kilimo nchini zinaendelea.
Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika inaendelea na mpango
wake wa kufatilia takwimu za maendeleo ya zana na mashine za kilimo nchini.
Wataalamu wa Idara ya Zana wanakwenda kuchukua takwimu
zilizopungua za zana na mashine mbalimbali za kilimo kwa ngazi ya wilaya na
mikoa kwa ujumla.
Kauli hio imetolewa na Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Zana
za Kilimo,Eng. Rajabu Mtunzi alipokua
anazungumza na Kitengo cha Mawasiliano ofisini kwake.
‘’Takwimu za mwaka zinaonyesha kuwa matumizi ya zana kwa
kutumia matrekta na power teeler yamepanda kutoka asilimia 12 mpaka 14 kwa
mwaka,wanyamakazi kutoka asilimia 20 mpaka 24 kwa mwaka,wakati jembe la mkono
limepungua kutoka asilimia 64 mpaka 62 kwa mwaka’’,alisema Eng. Rajabu.
Aliongeza kuwa matumizi ya matrekta na power teeler
yameongezeka wakati matumizi ya mikono yamepungua ingawa pia wanahangaika
kukusanya mashine za takwimu za usindikaji wa kilimo pia.
Aliendelea kusema kuwa takwimu hizi hufanyika nchi nzima
kila mwaka ambapo kila mtaalamu wa zana za kilimo anapangiwa mkoa wake na
vitongoji vyake kwenda kuutathmini.
Eng. Rajabu alisisitiza kuwa Idara yake inaendelea
kuwahamasisha wakulima kutumia zana bora za kisasa pamoja na mashine za
kulimia,kusindika mazao mbalimbali pamoja na matumizi ya nishati mbadala katika
kusindika mazao ya kilimo.
Aliendelea kusema kuwa lengo la kufanya ivo ni kuhakikisha
wataalamu na maofisa zana za kilimo wa wilaya wanapata elimu ya kutosha ili
waweza kuwafikishia wakulima.
Aidha serikali pia inawahamasisha wafanyabiashara na wauzaji
wa mashine mbalimbali za kilimo kujitangaza kwa wakulima ili mashine zao ziweze
kufahamika kirahisi kwa wakulima na wananchi kwa ujumla.
Na. Raymond Claud
WIZARA ya kilimo na Chakula imekubali kuungana na Mtandao wa simu za mkononi Zantel
kuendesha mradi wa majaribio ya simu za mkononi kupeleka elimu kwa wakulima
katika Nyanja nyingi.
Akizungumza jijini Da es
salaam katika viwanja vya Wizara ya kilimo Makao Makuu Dkt Msolla Kaimu Mkurugenzi wa maendeleo ya
mazao kwa niaba ya Katibu Mkuu alisema kuwa kila mmoja anafahamu umuhimu wa
elimu kwa wakulima katika kuendeleza kilimo.
Alisema lengo la Wizara ni
kuwa na afisa ugani kila kijiji ifikapo 2015 hadi sasa tuna maafisa ugani asilimia 35 ya vijiji vyote nchini, ili
kuweza kuziba pengo la elimu kwa wakulima linatokana na upungufu wa wataalamu
vijijini ili kuweza kuziba pengo la elimu kwa wakulima kutumia njia ya simu
itatoa mchango mkubwa kukabiliana na changamato hii.
Muongozo/mswaada
wa kikao cha Mhe. Chiza Waziri wa kilimo - Dodoma
Simulizi
Kufuatia matatizo yanayoendelea yanoyofanywa na baadhi ya
watu wasiokuwa waaminifu katika sekta ya
ushirika hususan katika zao la tumbaku ambalo ni maarufu sana katika mkoa wa
Tabora ,waziri wa kilimo chakula na ushirika Mheshimiwa injinia Chiristopher
Kajoro Chiza aliamua kukutana na wadu wa tumbaku.
Mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimo IV uliopo katika mji wa
Dodoma uliwahusiha Katibu mkuu wizara ya kilimo chakula na ushirka, Bib Sofia
Kaduma,mkuu wa mkoa Tabora Bib Fatuma nyangasa,body ya tumbaku , wawakilishi wa
wakulima pamoja na waandishi wa habari
Baada ya utambulisho waziri wakilimo alimkaribisha Mkuu wa
mkoa wa tabora Bib Fatuma nyangasa kuwasilisha tafiti walioifanya juu ya
matatizo wanayoyapata wakulima wa tumbaku
Mkuu wa mkoa …….
Mkuu wa mkoa…….
Mkuu wa mkoa…….
Maelezo ya mkuu wa
mkoa yakatoa nafas kwa mwalikilishi wa
wakulima wa tumbaku bwana ……….. ili kutoa kilio cha wakulima wenzake ambao
walimtuma kuonana na waziri wa kilimo
Mwakilishi wa wakulima…….
Mwakilishi wa wakulima………
kilio cha wanaushirika wa tabora ambao pia ni wakulima wa
tumbaku kilichowasilishwa na mkuu wa mkoa pamoja mwakilishi wa wakulima kikamgusa Mhe. Chiza ,Waziri wa Kilimo
chakula na ushirika kikamfanya kikamfanya atoe tamko ili kuondoa hali hiyo
waziri wa kilimo chakula na ushirika……
waziri wa kilimo na ushirika…..
hatua za ziada katika kuimarisha hali ya vyama vya ushirika
zikafanyika na hapa ndipo waziri wa
kilimo akaunda kikosi kazi ambacho kitahakikisha kuwa matatizo yanayokumba hali
ya ushiriika yanakwisha
waziri wa kilimo …..
waziri wa kilimo…….
Mpenzi mtizamaji wa makala haya hapa ndipo makala yetu
yanatia nanga hadi siku nyingine endelea kufatilika makala hizi kwa wakati
mwingine

No comments:
Post a Comment