RAILA APINGA MATOKEO YA UCHAGUYI


Raila apinga matokeo ya uchaguzi


Raila Odinga anajiandaa kwenda mahakamani kupinga uchaguzi amabo ulimpa ushindi Uhuru Kenyatta
Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video
Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyatta , ametangazwa kuwa mshindi rasmi wa uchaguzi wa urais.
Kenyatta alishinda uchaguzi kwa asilimia hamsini nukta sufuri saba. Idadi ya wapiga kura nayo ilikuwa asilimia 86,na hivyo kujiepusha na duru ya pili ya uchaguzi
Lakini mpinzani wakeRaila Odinga alidai kuibiwa kura na kusema kuwa atapinga matokeo hayo kwenye mahakama ya juu zaidi
Akizungumza baada ya kutangazwa kwa matokeo, Odinga pia aliomba utulivu akisema ghasia ya aina yoyote itatumbukiza nchi hii pahali pabaya sana.

No comments:

Post a Comment